moviebox header nav
moviebox search icon

ROSE MUHANDO - NJIA ILE (Official Video) SMS SKIZA 69815559 TO 811

2026

R

0 h 7 m

Kenya

Populaire

“Njia Ile” ni wimbo wa kiroho unaotukumbusha umuhimu wa kumjua Mungu na kusimama katika njia yake. Dunia ya leo imejaa mambo mengi yanayoweza kutuondoa kwenye uwepo wa Mungu, lakini wimbo huu unatukumbusha kwamba njia ya uzima ni nyembamba, na tunapaswa kuchagua kumfuata Mungu kwa moyo wote. Kupitia sauti na ujumbe wake, Rose Muhando anatusisitizia tusipoteze muda mwingi katika mambo ya dunia na mitandao, bali tumtafute Mungu, tumjue zaidi na tuishi kwa kufuata mapenzi yake. Je, wewe bado unasimama katika NJIA ILE? 🎵 Wimbo: Njia Ile 🎤 Msanii: Rose Muhando 💿 Album: ZAMANI ZILE 🎼 Genre: Gospel / Afrobeat 🗣️ Language: Swahili 🎹 Producer: Yusuph Manamba 🎸 Solo Guitar: Andrew 🎚️ Mix & Master: Laizer Classic 🎬 Video Director: Hassan Mbangwa Usisahau: Like, Comment, Share na Subscribe kwenye channel ya Rose Muhando. #RoseMuhando #NjiaIle #ZamaniZile #GospelMusic #SwahiliGospel #ChristianMusic #TanzaniaGospel #RoseMuhandoOfficial
More

7.1 /10

0 people rated

Regarder en ligne

Dans l’appli

Watch on TV

Épisodes

Meilleurs acteurs

Avis des utilisateurs

Épisodes
Meilleurs acteurs
Avis des utilisateurs

Épisodes

film
lklk
Netflix
Plex
Meilleurs acteurs(1)
starring avatar
Rose Muhando
Singer

Avis des utilisateurs

author avatar

user4230313415209

12/09/2026 02:30
ROSE MUHANDO - NJIA ILE (Official Video) SMS SKIZA 69815559 TO 811
Disclaimer: All videos and pictures on MovieBox are from the Internet, and their copyrights belong to the original creators. We only provide webpage services and do not store, record, or upload any content.