moviebox header nav
moviebox search icon

Bella Kombo - Nifinyange (Official Live Recorded Video)

2022

R

0 h 9 m

Kenya

Populaire

.Nifinyange ni wimbo uliobeba maono ya Ibada ya RE-BIRTH EXPERIENCE iliyorekodiwa Tarehe 24 Octoba 2021, Dar Es Salaam. Nifinyange ni wimbo wa maombi ambao Roho anaimiza kwa Kanisa kwa habari ya unyenyekevu, Ili atufanye kama apendavyo kwa wito wake kwa kazi hii. Ni maombi yangu kwa kwamba Ukiri huu ukawe halisi kwenye maisha yako yako,Kufanywa upya, Kurejeshwa, Na kurudi katika nafasi ambayo Mungu ametukusudia. WARUMI 8:11 Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu. ACKNOWLEDGEMENTS THE MUSIC BAND Music Director : Elisha Julius ( KORG ) Aux : Daniel Bass guitarist : Benjamin Makolobela Lead Guitarist: Hagai Makuzi Drummer : Andrew Chitete Sound: Sound Solution (SSI) Event Audio Engineering: Gady Audio Mixing and Mastering: Mujwahuki THE BGV's and the Vocal Arranger John Kavishe SOCIAL MEDIA HANDLES Instagram : officialbellakombo youtube : Bella Kombo #NIFINYANGE #BELLAKOMBO #REBIRTHEXPERIENCE
More

7.2 /10

0 people rated

Regarder en ligne

Dans l’appli

Watch on TV

Épisodes

Meilleurs acteurs

Avis des utilisateurs

Épisodes
Meilleurs acteurs
Avis des utilisateurs

Épisodes

film
lklk
Netflix
Plex
Meilleurs acteurs(1)
starring avatar
Bella Kombo
Singer

Avis des utilisateurs

author avatar

@Sabri monde

10/07/2025 02:33
Bella Kombo - Nifinyange (Official Live Recorded Video)
Disclaimer: All videos and pictures on MovieBox are from the Internet, and their copyrights belong to the original creators. We only provide webpage services and do not store, record, or upload any content.