#hanakurahisi #ndovukuu
Hanaku Rahisi -
Written by Ndovu Kuu
Produced by Ndovu Kuu
Vijana Tushaungana.
Wake Up,Stand Up,Think,Organize,Demand Better.
The Future is Now
LYRICS:
Aki Walaaaae,
Hanaku rahisi,Hanaku Rahisi,
Hatupati usingizi
Hii kenya hanaku Rahisi,
Anaku Rahisi Anaku Rahisi,
Hanaku Rahisi Hanaku Rahisi,
Hanaku Rahisi Hanaku Rahisi,
Kenya anaku rahisi,
Nyi mko na Suluhu,
Hamwezi jicompare na sisi hanaku rahisi,
Tumekusifuu na hatujui ka mkiingia mtatutoka, ah
Kuwakumbusha grao ni fucha mamavijana hawako Mboka, ah
Saa Hii ni mbaya hakuna za chai nakula hongo nakutoka,
Mapema Kutema Ol -ka lau Naskiamurima kumethoka,
Anaku rahisi mali ya umma m-nau-ma nyi ni mafisi,eah,
Si kurahisi mpikini wangu ananiambia atakua polisi,eah
Si very easy vile mnafanya inafanya tuzue tuchizi,
Atuwezi Banja na wizi,eh?
Kwani si Niwakimbizi Ahi,
Mi ni nimesoma najua hii Kenya kupata Kazi huwa kazi,
Hizi Madegree zinachoma ssshhs ,
namedi chin’ya mnazi,
Mzazi Mrazi, aliuza kura yake na Shangazi,
Ukabila Upuuuzi Shuka naJam ehApa Kupanda ni ngazi,
stivo leo si simple,
Anaku Rahisi Anaku Rahisi,
Hanaku Rahisi Hanaku Rahisi,
Hanaku Rahisi Hanaku Rahisi,
Kenya anaku rahisi,
Nyi mko na Suluhu,
Hamwezi jicompare na sisi hanaku rahisi,
Nchi ni yetu,
Nani alisema hatwezi ongea,
Mungu ni Wetu,
Nani alisema hatuwezi ombea,
Nchi ni Yetu,
Unaeza omba Kura na ukose kupewa,
Vijana Tushaungana,
Ukabila hatuwezi Elewa,
Hanaku Rahisi
More
