moviebox header nav
moviebox search icon

Jay Melody - Nazama (Lyrics Video)

2025

R

0 h 3 m

केन्या

पॉप

Stream now in all digital platforms: Audiomack: https://audiomack.com/realjaymelody/song/turudiane Connect: With Jay Melody instagram: https://www.instagram.com/realjaymelody Tiktok: https://www.tiktok.com/@realjaymelody @2025 Jay Melody All rights reserved Learn more #nazama #jaymelody LYRICS Mmmh once again Mmmh naitwa once again Onaah nananaaah Mapenzi ya usiku Sio kama ya mchana Usiku kigiza flani Mchana tunaonana Halafu kipaji anhaa Amempa maulana Ananionesha michezo ambayo sijawahi ona Kwisha kabisa Mwenzenu ananimaliza Huu ufundi kapatia wapi Mbona anapitiliza Kwisha kabisa jamani Anamiujiza Penzi kalichomea ubani Utamu tu ananipa Mwenzenu nazama Mi sijui nifanyeje Sjui mimi Sijui nimekuaje Sijui mimi Nimekua kama bwegee Mwenzenu Naenjoy mwenyewe olaah Verse2 Hivi kwanini ukiitwa honey Unasikia raha mpaka ndani oh Hadi unatamani uiskie milele maishani Namaanisha sio utani Huu upendo umenipa amani Wengine wanafika mbali Eti mapenzi majani
More

7.4 /10

0 people rated

ऑनलाइन देखें

ऐप में देखें

Watch on TV

एपिसोड

शीर्ष कलाकार

उपयोगकर्ता समीक्षा

एपिसोड
शीर्ष कलाकार
उपयोगकर्ता समीक्षा

एपिसोड

film
lklk
Netflix
Plex
शीर्ष कलाकार(1)
starring avatar
Jay melody
Singer

उपयोगकर्ता समीक्षा

author avatar

ICON

07/07/2025 11:39
Jay Melody - Nazama (Lyrics Video)
Disclaimer: All videos and pictures on MovieBox are from the Internet, and their copyrights belong to the original creators. We only provide webpage services and do not store, record, or upload any content.