moviebox header nav
moviebox search icon

HANAKU RAHISI - NDOVU KUU (Official Audio)

2026

R

0 h 2 m

केन्या

पॉप

#hanakurahisi #ndovukuu Hanaku Rahisi - Written by Ndovu Kuu Produced by Ndovu Kuu Vijana Tushaungana. Wake Up,Stand Up,Think,Organize,Demand Better. The Future is Now LYRICS: Aki Walaaaae, Hanaku rahisi,Hanaku Rahisi, Hatupati usingizi Hii kenya hanaku Rahisi, Anaku Rahisi Anaku Rahisi, Hanaku Rahisi Hanaku Rahisi, Hanaku Rahisi Hanaku Rahisi, Kenya anaku rahisi, Nyi mko na Suluhu, Hamwezi jicompare na sisi hanaku rahisi, Tumekusifuu na hatujui ka mkiingia mtatutoka, ah Kuwakumbusha grao ni fucha mamavijana hawako Mboka, ah Saa Hii ni mbaya hakuna za chai nakula hongo nakutoka, Mapema Kutema Ol -ka lau Naskiamurima kumethoka, Anaku rahisi mali ya umma m-nau-ma nyi ni mafisi,eah, Si kurahisi mpikini wangu ananiambia atakua polisi,eah Si very easy vile mnafanya inafanya tuzue tuchizi, Atuwezi Banja na wizi,eh? Kwani si Niwakimbizi Ahi, Mi ni nimesoma najua hii Kenya kupata Kazi huwa kazi, Hizi Madegree zinachoma ssshhs , namedi chin’ya mnazi, Mzazi Mrazi, aliuza kura yake na Shangazi, Ukabila Upuuuzi Shuka naJam ehApa Kupanda ni ngazi, stivo leo si simple, Anaku Rahisi Anaku Rahisi, Hanaku Rahisi Hanaku Rahisi, Hanaku Rahisi Hanaku Rahisi, Kenya anaku rahisi, Nyi mko na Suluhu, Hamwezi jicompare na sisi hanaku rahisi, Nchi ni yetu, Nani alisema hatwezi ongea, Mungu ni Wetu, Nani alisema hatuwezi ombea, Nchi ni Yetu, Unaeza omba Kura na ukose kupewa, Vijana Tushaungana, Ukabila hatuwezi Elewa, Hanaku Rahisi
More

7.1 /10

0 people rated

ऑनलाइन देखें

ऐप में देखें

Watch on TV

एपिसोड

शीर्ष कलाकार

उपयोगकर्ता समीक्षा

एपिसोड
शीर्ष कलाकार
उपयोगकर्ता समीक्षा

एपिसोड

film
lklk
Netflix
Plex
शीर्ष कलाकार(1)
starring avatar
NDOVU KUU
Singer

उपयोगकर्ता समीक्षा

author avatar

Instagram:iliass_chat ✅

08/11/2026 02:30
HANAKU RAHISI - NDOVU KUU (Official Audio)
Disclaimer: All videos and pictures on MovieBox are from the Internet, and their copyrights belong to the original creators. We only provide webpage services and do not store, record, or upload any content.