moviebox header nav
moviebox search icon

Israel Mbonyi - Malengo ya Mungu

2023

R

0 h 8 m

Kenya

Pop

stream at https://bfan.link/malengo-ya-mungu Follow Israel Mbonyi at https://israelmbonyi.com https://instagram.com/israelmbonyi https://facebook.com/israelmbonyii https://twitter.com/israembonyi https://www.tiktok.com/@israelmbonyi Contacts : Information : Info@israelmbonyi.com Bookings : Booking@israelmbonyi.com Malengo ________ Verse 1 Atakaye kuwa na wema Ahitajie kuheshimiwa Basi aende ayatafute kwa kutenda mema bila kusita Asiyajali macho ya watu Maana yao sio muhimu Bali ajali jina nimuitalo Kwani mi ni Mungu aliyemuumba Chorus Ninayajua yangu malengo Ni mema sio mabaya Ili niwape matumaini ya siku zijazo Nawapenda Wambieni wenye huzuni Tulizeni wenye majelaha Wambieni waje waone Tuna Mungu mwingi wa upendo Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa Katuosha na kutusafisha Akatuahidi uzima wa milele Verse 2 Simameni kwenye mnara, usubiri ntakacho kisema Zizuieni sauti za muovu Na upende kuwa mwenye haki Nenda omba tena uombe Tofautisha kuomba kwako, Maana hapo nitakuokoa Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako
More

7.6 /10

0 people rated

Manood online

Manood sa app

Watch on TV

Mga episode

Nangungunang Cast

Pagsusuri ng User

Mga episode
Nangungunang Cast
Pagsusuri ng User

Mga episode

film
lklk
Netflix
Plex
Nangungunang Cast(1)
starring avatar
Israel Mbonyi
Singer

Pagsusuri ng User

author avatar

5ishur

07/07/2025 11:40
Israel Mbonyi - Malengo ya Mungu
Disclaimer: All videos and pictures on MovieBox are from the Internet, and their copyrights belong to the original creators. We only provide webpage services and do not store, record, or upload any content.